Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mbeya Mjini: Dkt. Tulia Ackson Atangazwa Mshindi Dhidi Ya ‘Sugu’-MSIMAMIZI wa uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini leo Oktoba 29, 2020 amemtangaza Tulia Ackson kupitia CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge kwa jimbo hilo, ambaye amepata kura 75,225 na kumshinda aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi aliyepata kura 37,561

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments