Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mbowe 'Lissu Anakuwa Rais Mungu Akipenda, Mimi Nitakuwa Waziri Mkuu'

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema ndani ya saa chache zijazo, Mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anachukua nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania na Mungu akipenda, yeye anakwenda kuwa Waziri Mkuu


Mbowe ambaye anagombea Ubunge Jimbo la Hai ametahadharisha kuwa, kitendo chochote cha kuwazuia Mawakala wao wasiingie kwenye Vituo vya Kupigia Kura kinaweza kubadili historia ya #Tanzania


Amefafanua, "Uchaguzi huu sio kati ya CHADEMA na CCM wala Uchaguzi huu sio kati ya Lissu na Magufuli (Mgombea Urais CCM) bali ni kati ya wanaopenda uhuru na haki na waliokandamiza uhuru na #Demokrasia"


Amesema, wamezunguka Mikoa yote na Wananchi wapo tayari kufanya mabadiliko ya Uongozi

Post a Comment

0 Comments