10/19/2020

Membe atoa msimamo wake ugombea urais,Hata mninyonge, wabunge 32 siwatajiMimi bado ni mgombea urais halali wa chama cha ACT-Wazalendo na nitakipeleka chama changu kwenye Uchaguzi Mkuu October 28”, alisema Membe kwa kujiamini na kuongeza kuwa ACT-Wazalendo ni chama chetu, ni chama kizuri kabisa na kinasera nzuri”.
Aidha, Membe amejitapa kwa kusema kwamba “Mazingira ya wapinzani kuiondoa CCM madarakani yameiva. Nilikuwa tayari kuiondoa serikali hii madarakani wakati nikiwa Chama cha Mapinduzi wanabahati yao walinifukuza”


“Mimi nilikuwa CCM nikatataka kukabiliana na rais aliyepo madarakani peke yangu kumuondoa, lakini washukuru walinifukuza, tulijianda na wana CCM wenzangu, achilia mbali tulikuwa watu 6 tuliokuwa tayari kuiondoa serikali madarakani, mimi nilikuwa na wabunge 78, kwa bahati mbaya 46 wamefyekwa lakini wako CCM, 32 wamebaki hata mkininyonga siwezi kuwataja kwa sababu watatumbuliwa tu”, amesimulia Membe.


Aidha Membe ameongeza kuwa, “Kuungana kwa vyama vya upinzani ni lazima chama tawala kipasuke ili kundi la pili lije upande wa pili ili kusaidia chama tawala kuangushwa CCM mwisho wake umefika na tunawaondoa madarakani Oktoba 28”.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

2 comments:

 1. Membe huyo membe..!!! Rahisi anaengoja apisho na wagunge 72.
  kwa mujibu wa Mabwege.

  Baada ya kuliwa Ruzuku na Posho yake. viogozi wake na washiriki wenza, Wamemchakachu na KUMSALITI HAZARANI.

  POLE MEMBE. ENDELEA NA KAMPENI KTK LALA SALAMA UNAWEZA KUAMBULIA KULA MOJA ZAIDI DAKIKA ZA MAJERUHI AJILI HUYU MWENZAKO KADI YAKE YA KUPIGIA KURA HAIKO KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA. (BAO LAKO LA KISIGINO).

  KESHO UKO UWANJA GANI KAMPENI ZA KAZI NA BATA...??

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mgombea mwenza Salama..??

   Babu na Mzamiaji nchini nasikia, wanakufanyia Figisu.

   Mie mbona sielewi!!!!!

   Delete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger