Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mimi Mars Aonesha ‘Mahaba’ Kwa BlueMREMBOanayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Mariane Mdee ‘Mimi Mars’ amefunguka kwamba, kwa upande wa wasanii wa kiume anaowazimia, humwambii kitu kwa Khery Sameer Rajab ‘Mr Blue’.


Akizungumza na Risasi Vibes, Mimi Mars amesema kuwa huwa anampenda Mr Blue kwa sababu ni msani ambaye anaishi maisha yake na hana skendo.

“Kwa Mr Blue jamani huniambii kitu kiukweli nampenda sana kwa sababu ni msanii ambaye hafeki maisha, anaishi anavyotaka yeye siyo watu wanavyotaka, kingine anaujua muziki,” alisema Mimi Mars

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments