10/10/2020

Mke wa Bongozozo: Nimerudi nyumbani, tumeachana na Bongozozo
“Mimi na Bongozozo tulipoanza maisha, tulikuwa na hali ngumu, sikumkuta na hela, tulipanga chumba kimoja Iringa, alikuwa mwanafunzi wa Chuo, watu walinicheka wakasema nimeolewa na mzungu gani asiye na hela, walikuwa wanamuita ‘Albino'” Mzazi mwenzie Bongozozo Caro

“Mimi na Bongozozo tulioana tukiwa wadogo sana, muda huu tumepeana nafasi, Mimi na yeye tunaishi nyumba moja japo tumeachana, yeye anakaa flow ya chini mimi nakaa ya juu, tumebaki marafiki, tunalea Watoto” Mzazi mwenzie wa Bongozozo


“Yeye yupo na uhuru kufanya mambo yake na hata kuanzisha mahusiano na mtu mwingine, hatukuachana kwa ugomvi, tulishindwa kutofautisha kati ya mke au wafanyakazi pamoja” Mzazi mwenzie Bongozozo
OPEN IN BROWSER

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger