AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MSANII wa muziki na Uigizaji hamisa mobetto amethibitisha tetesi za mzazi mwenza wake Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto kuchukua vipimo vya DNA na mwanae DYLAN baada ya maneno kuzidi kusambaa juu ya mtoto kuwa ni wa mwanamuziki Charles Njagua ‘Jaguar’.
Mobetto amesema kuwa ni kweli Diamond alifanya hivyo ili kujihakikishia na majibu yalitoka asilimia 100% mtoto huyo ni wakwake.
“Tulienda hospitali na tukachukuliwa vipimo vinne vinne, wakasema tusubirie wiki mbili au tatu na majibu yakatoka mtoto kwa asilimia zote 100% ni wakwake,” amesema Mobetto.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK