Mpenzi Aliyempigia Magoti Amber Lulu Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Msanii Rasco Sembo ambaye alimpigia magoti msanii Amber Lulu kwa kumuomba kuwa naye kwenye mahusiano amesema ombi lake lilikubaliwa baada ya miezi mitatu ambapo mwenyewe alikuwa amekata tamaa.

 

Akizungumzia suala hilo kupitia EATV & EA Radio Digital, Rasco Sembo amesema kilichoendelea baada ya pale ni Amber Lulu kumkubali lakini kwa upande wake muda ulikuwa umeshaenda hivyo akaamua kuachana naye.

"Kilichoendelea baada ya pale ni alinikubalia ila muda ulikuwa umeshaenda tayari kwa sababu nilikuwa nishapata pisi kali kutoka Kenya ambapo tupo kwenye mahusiano hivyo nikashindwa kumiliki vitu viwili, Amber Lulu alikua kunikubalia baada ya miezi mitatu, niliamua kumpigia magoti ili aone kama kweli nampenda na kumuaminisha kwa watu" amesema Rasco Sembo 

Rasco Sembo alifanya tukio hilo kupitia show ya Friday Night Live ya East Africa TV, ambapo Amber Lulu hakumjibu kitu chochote kisha kumuacha na kuondoka akiwa bado amepiga magoti.


Zaidi tazama hapa chini kwenye video.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad