10/15/2020

Mtaharishaji Wa Midundo/Producer S2kizzy Amevamiwa/Kupigwa na Kufanyiwa Uharibifu Wa Studio Yake

Amesema Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram:-

"NIMEVAMIWA STUDIO NA KUPIGWA NA KUFANYIWA UHARIBIFU WA STUDIO NZIMA KUVUNJIWA VIFAA NA VITU VYA STUDIO NA HAWA WANAODAI WAO NI SECURITY NA PIA NI ULINZI SHIRIKISHI #ACHERSECURITY ...STUDIO KULIKUA NA WATU AMBAO PIA WALIPIGWA KAMA WEZI , WANAWAKE WALIZALILISHWA IKIWEMO KUVULIWA NGUO , KUPIGWA ,KUFANYA VITENDO VYA KINYAMA 😓 !!!! NIMESIKITISHWA SANA NA NIMEKATISHWA SANA TAMAA MIMI KAMA KIJANA AMBAE NATAFUTA RIZKI...!!! KAZI ZETU TUNAKESHA TUNAANGAIKA LAKINI MWISHO WA SIKU TUNAVUNJWA SANA MOYO NA VITU AMBAVYO HAVINA ILI WALA LILE .... !!!"

Nini Maoni Yako Kuhusu Suala Hili?

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger