AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mtoto wa miaka miwili ambaye alinyofolewa sehemu zake za siri na Mbwa kwenye siku ya Birthday yake amefariki Dunia baada ya kulazwa Hospitali Ukraine kwa siku 10.
Polisi wamesema watawachukuli hatua Wazazi kwasababu walinogewa na Birthday Party alafu wakajisahau Mtoto akatoka nje bila wao kujua “inaonekana walilewa, ni uzembe”
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK