Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mwanajeshi Afunguka "Niliwaua Warembo Wawili ili KULIPIZA Kisasi Nilivyokuwa Naonewa Nikiwa Mdogo"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mwanajeshi wa kitengo maalum cha Makombora Alexey Alexandrov (35) amekiri kuwaua kwa pamoja Warembo wawili Ksenia Soltanova na Rafiki yake Natalia Kuznetsova Mwaka 2018 nchini Urusi huku akisema chanzo ni kulipa kisasi kwa kuonewa akiwa utotoni na sio wivu wa kimapenzi kama wengi wanavyodai.


Alexey amesema utotoni akiwa nyumbani na hata shuleni alikuwa anaonewa sana na Watu na aliapa kulipa kisasi> 

"lengo langu lilikua kuua haijailishi ni nani ningemuua, niliwakuta Warembo wanakula pizza nikawaua na miili yao nikaitupa kwenye nyasi na kwenda zangu nyumbani"

“Sio kwamba hawa ndio ambao walinionea hapana, nilionewa na wengine kabisa ambao siwezi kujua wako wapi kwa sasa ila tu nilipanga siku moja nitaua, na muda ulipofika hawa ndio walikuwa mbele yangu nikamalizana nao” -Alexey(swipe kuona picha za Alexey na Warembo aliowaua)

Post a Comment

0 Comments