10/06/2020

Mwanamke Mwenye Miguu Mirefu Kuliko Wote DunianiUNAAMBIWA:Maci Currin mwenye umri wa miaka 17 kutoka Austin, Texas ndiye anashikilia rekodi ya Dunia ya Guinness ya Mtu mwenye miguu mirefu zaidi Duniani, Maci ana miguu yenye urefu wa Futi 4 na Inch 5 huku urefu wa mwili wake mzima ukiwa ni Futi 6 na Inch 10 “nataka kuwa Model”  

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger