10/01/2020

Mwanamuziki John LEGEND na Mkewe Wapata Pigo Kubwa

 


Familia ya Mwanamuziki John Legend wamepata pigo baada ya kumpoteza mtoto wao waliyemtegemea kumpata.


Kupitia kwenye Instagram ya mke wa John Legend, Chrissy Teigen ameandika ujumbe mzito kuhusu kutokea kwa jambo hilo ambapo amesema kuwa sababu iliyosababisha mtoto wao kufariki ni baada yakuvuja damu nyingi kitendo ambacho kimefanya jambo hilo kutokea.


Hata hivyo amewashukuru wote ambao wamekuwa naye pamoja katika kipindi hiki kigumu akiwemo mwanamitindo maarufu duniani Kim Kardashian ambaye amekuwa naye pamoja mwanzo mpaka mwisho katika hali yake.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger