10/12/2020

Mwanamuziki Rhino Anayejipaka Rangi za Kucha Mikononi Afunguka LICHA ya Kuwa ni Mwanaume Afunguka Mazito

 


Baada ya kuzungumziwa sana kwa kupaka rangi kucha zake msanii Rhino King amezua jipya kwa kujibu kuhusu hilo ambapo amesema hapaki rangi za bei rahisi,  gharama zake anazotumia yeye ni kuanzia shilingi laki 1.

 

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Rhino King ameeleza kuwa 

"Nimeanza kupaka rangi kabla ya kuwa na Akida OG, lakini kaka yangu ndiyo amenibadilisha kutoka kwenye rangi za bei rahisi hadi za kwenye laki moja moja, zile za elfu 10 siwezi kupaka na nimeshaachana nazo"  


Licha ya Rhino King kusainiwa kwenye lebo mpya chini ya Mkurugenzi Akida OG, amesema bado yupo kwenye kundi la The Mafik japo wameshamaliza mkataba na aliyekuwa anawasimamia ambaye ni Director Msafiri.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger