10/13/2020

Nandy kafunguka ishu ya kuachana na Billnass

 


Kwa mara ya kwanza Msanii Nandy ametolea ufafanuzi tetesi za kuachana na Billnass hii ni baada ya maneno kuenea Mitandaoni kuwa wawili hao tayari wameachana miezi michache tu tangu Nenga alipomvalisha pete ya uchumba Nandy .

”Kuhusu kuachana wao wamesema sio Mimi, Wabongo wape picha tu wanakupa caption, tuna Miezi mitano, sita tu, masuala ya ndoa ni mwaka kwanza, kuhusu ndoa ni lini tuombe Mungu“- Nandy


Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Nandy akifunguka 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger