Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Nape Nnauye "Mwaka Huu Upinzani Wamerudia MAKOSA Yale Yale"

 


Nape Nnauye amesema upinzani wamerudia makosa yale yale wakati huu wa Uchaguzi kama walivyofanya kipindi cha nyuma na Edward Lowassa pamoja na Frederick Sumaye


Amesema, "Wakati wa Uchaguzi umefika wanataka Mgombea, wakamtafuta Kaka yangu anaitwa Membe. Kaingia mpaka jikoni Kampeni hafanyi, hatoki, amewakaba kooni"


Nape ameongeza "Ndoano ukiibugia haitoki mpaka itoke na utumbo. Hilo limewakaba lazima waanguke nalo, akimaliza kazi atarudi CCM"

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments