10/11/2020

Ndugai: Hii Ni Awamu Yangu Ya Mwisho, Sitagombea Ubunge TenaMbunge Mteule wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai,  leo Oktoba 11, 2020 amesema hii ni awamu yake ya mwisho kugombea ubunge hivyo amewataka wenye nia njema ya kuliongoza jimbo hilo kujiandaa na kujipanga


Ndugai ametoa kauli hiyo leo asubuhi katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Mikaeli lililopo Kongwa Mjini mkoani Dodoma.


Job Ndugai amekuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2000.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger