Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

NGARA: Ajali ya basi la abria, 10 wapoteza maishaWatu 10 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospitali teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba.

Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, David Mapunda amethibitisha.


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments