10/13/2020

Pamoja na ROMA Mkatoliki Kukimbilia Marekani Unaambiwa Hawezi Kufanya SHOW Yoyote ya Mziki Huko...Sababu Hizi Hapa

 


"Ili msanii aweze kufanya show Marekani anatakiwa awe na 'paper work' ambazo zitamruhusu kufanya kazi Marekani pia awe na kibali cha kufanyia kazi @roma_zimbabwe hakuja kwa ajili ya show alikuja kwa ajili ya tukio la Swahili Society USA" Promota wa kimataifa DMK


"Ila @roma_zimbabwe hawezi kufanya show Marekani kwa sababu Visa yake iliyomruhusu ilikuwa tofauti hata kama kuna mtu anataka afanye naye show, lazima arudi kwanza Tanzania achukue kibali cha kazi na 'Proper Visa' kisha ndiyo akafanye show Marekani" - Promota DMK

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger