Pisi Kali Yenye Msambwanda wa Kuvunja Chaga Amber Lulu Afunguka Kunasa Ujauzito wa Mume wa Zamani wa Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




 Pisi kali kunako Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Amber Lulu’ @iamamberlulu amefunguka juu ya tetesi zinazosambaa kuwa amebeba ujauzito wa aliyekuwa mume wa staa mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe.

Awali zilianza tetesi kuwa, Amber Lulu na Uchebe wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku mrembo huyo akimsifia jamaa huyo kwamba ana kifua cha chuma.

Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA, Amber Lulu ambaye hakaukiwi vitimbi amesema hana uhakika kama aliwahi kuwa kwenye mapenzi na Uchebe, labda kama alikuwa amelewa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad