Polisi Wamkamata na Kumwachia Halima Mdee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni asubuhi ya leo Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 walimkata Mgombea Ubunge wa Kawe, Halima Mdee wa Chadema kufuatia sintofahamu iliyojitokeza katika zeozi la upigaji kura jimboni humo.


 Taarifa zinaeleza, Mdee alikamatwa katika Kituo cha Kawe kufuatia sintofahamu hiyo kutokea baada ya mgombea huyo kudai kuona masanduku ya kura yakiwa na kura zilizopigwa kinyume na utaratibu.


Akizungumzia sakata hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Edward Bukombe amesema, mgombea huyo alihojiwa baada ya kukamatwa kisha akaachiwa huru.


Kuhusu madai ya Mdee ya sanduku kukutwa na kura feki, Kamanda Bukombe amesema hawajapokea taarifa hizo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Madee Harima, Ubunge wana Kawe wamempa
    Askofu.

    Nenda ukaungame upate upako kuwa muumini mzuri na kutubu makosa yako
    kwa vipindi vyote ulivyo wakosesha wana Kawe Maendeleo waliyo hitaji na
    wewe kuhakikisha unawakosesha.

    Kawe hawato kusahau ulivyo wasaliti.

    Kawe oyee, Maendeleo oyeee

    ReplyDelete

Top Post Ad