AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam leo Ijumaa Oktoba 2, 2020, imesitisha wito wa kumtaka mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, kufika kituo cha polisi na badala yake aendelee na ratiba za kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK