Rais Magufuli amtembelea majeruhi aliyeshambuliwa kwa mapanga msikitini Pemba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia jeraha alilopata Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa  mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni  leo Ijumaa Oktoba 2, 2020.



Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) akisimulia jinsi alivyokatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni leo Ijumaa Oktoba 2, 2020.



Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni  leo Ijumaa Oktoba 2, 2020.



Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimtuza kofia Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni  leo Ijumaa Oktoba 2, 2020.



Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mkuu wa Polisi wa Mjini Magharibi ACP Awadhi baada ya kumjulia hali Ndugu Hamisi Nyange Makame maarufu kama Profesa Gogo (63) aliyekatwa mapanga na wenzie wawili wakati wa Swala ya Alfajiri katika msikiti wa eneo la Kangagani wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini. Rais Magufuli alimtembelea majeruhi huyo ambaye ni msanii maarufu anayepatiwa matibabu katika hospitali ya Mnazi Mmoja alikolazwa mara tu baada ya kuwasili visiwani tayari kwa mikutano ya kampeni leo Ijumaa Oktoba 2, 2020.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad