Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Rais Magufuli amuaga mgeni wake Rais wa Malawi Chakwera
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa

Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ni mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera  katika Uwanja wa\Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera anayewapungia mkono Wamalawi wanaoishi Tanzania waliojitokeza kumuaga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru Balozi wa Tanzania nchini Malawi Mhe. Ben Mashiba na Balozi wa Malawi nchini Tanzania Mhe. Chembe Muthali baada ya kumsindikiza  Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipunga mikonu kuwaaga Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus MacCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera  wakati wakiondoka katika Uwanja wa\Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku tatu nchini leo Alhamisi Oktoba 8, 20202.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments