10/31/2020

Rais wa Belarus “anayemgusa Askari au Mwanajeshi angalau aondoke bila mikono”Wakati mamia ya wananchi wakiandamana kushinikiza ajiuzulu, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko amesema yeyote anayemgusa Askari au Mwanajeshi angalau aondoke bila mikono.

Wanafunzi, Wafanyakazi wa Viwandani na Wastaafu wametikia wito wa Kiongozi wa upinzani, Sviatlana Tsikhanouskaya na kugoma ili kumlazimisha Rais Lukashenko kufanya Uchaguzi mpya kufuatia miezi ya maandamano.


Belarus imeingia katika mgogorowa kisiasa baada ya Rais huyo ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 26 kutuhumiwa kuiba kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika. Hata hivyo, amekanusha mashtaka hayo na kuendelea kubaki madarakani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger