RaisTrump anasema anaendelea vizuri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Zaidi ya wiki moja baada ya kuambukizwa virusi vya corona, rais wa Marekani, Donald Trump, Jumapili, amesema anajisikia yuko vizuri sana, na hatumii dawa yoyote. Katika mahojiano kwa njia ya simu na televijeni ya Fox news, Trump, amesema, 


"nimevishinda virusi hivi vibaya vya China, ni kama nina kinga ya mwili labda kwa muda mrefu, muda mfupi, labda maisha yangu yote.



” Lakini katika mahojiano hayo, mwanahabari hakumuuliza iwapo vipimo vilionyesha kwamba hana tena virusi vya corona, ambavyo vimesha ua zaidi ya watu laki mbili, na kuambukiza zaidi ya millioni saba ncini Marekani. Muda mfupi baada ya kufanya mahojiano na televijeni ya Fox, Trump aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter, kwamba madaktari wake wamethibitisha kuwa amepona kabisa, na kuongeza kuwa hivi sasa hawezi kuambukizwa Corona, wala hawezi kuwaambukiza watu wengine. Baadae kampuni ya Twitter imesema 


“ujumbe wa Trump unakiuka maadili ya mtandao wa Twitter kuhusu kusambaza habari za uongo, na kupotosha za janga la Covid-19.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad