10/29/2020

Ramadhani Sima ashinda ubunge Singida mjiniMsimamizi wa uchaguzi katika jimbo la singida mjini  amemtangaza  Ramadhani Sima wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 23,220 akifuatiwa na Rehema Nkoha wa Chadema aliyepata kura 15,467


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger