10/13/2020

RECAP: HARMONIZE azidi kumuoneshea jeuri DIAMOND baada ya ISSUE ya kurusha HELA, amjibu kwa KIJEMBE


Harmonize na Diamond wameingia kwenye headlines tena. Awamu hii ni baada ya Diamond kudai kuna wasanii wanaorusha hela ili kuwavutia, kauli ambayo imemlenga Harmonize ambaye hakuchelewa kumjibu bosi wake huyo wa zamani kwa kijembe kizito. Fuatilia

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger