Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Sakala la Mapungufu Mkataba wa Morrison Simba Wajibu Kiaina...'Mnatuogopa Tarehe 18"


BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na mabosi wake wapya wa sasa Simba una mapungufu, uongozi wa Simba umetoa jibu la 'kimtindo'.


Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram alitupia ujumbe ukisindikizwa na picha ya Morrison akiwa ansaini ameandika kwamba :_
 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments