AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Shamsia Mtamba kupitia CUF, ametangazwa ameshinda jimbo la Mtwara Vijijini baada ya kuibuka kidedea kwa kura 26,262, dhidi ya mpinzani wake Hawa Ghasia CCM amepata kura 18,505. Shamsia alikuwa mbunge wa viti maalum CUF kabla ya kujitosa kwenye jimbo.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK