10/16/2020

Sheria ya Zawadi Harusini Hii Hapa...Ukimtaja Mmoja Imekula Kwako


Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa ya Tanzania ya 1971 kifungu cha 58, Mtu anapotoa zawadi kwenye harusi kisha akataja jina la Mwanandoa mmoja wakati wa utoaji basi zawadi hiyo itakua halali kwa huyo Mwanandoa mmoja pekee hivyo kama lengo ni kuwazawadia wote, Mtoaji anatakiwa kuwataja wote.

“Mzazi akimtaja Mwanandoa mmoja mfano Jane nakupa mali hii au zawadi hii..... basi zawadi hizo zitakua mali ya Mtu mmoja alietajwa ambae ni Jane, haya ni mambo ya kuzingatia Wazazi kama wanataka kuzawadia Wanandoa wote wanatakiwa kutaja majina ya wawili hao” - Hamza Jabir, Wakili kutoka

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger