10/16/2020

Shishi Baby amethibitisha kuwa ni Mjamzito na anatarajia mtoto karibuni
 Shilole ameendelea kuumiza vichwa vya Mashabiki zake kutokana na matukio kila kukicha mara baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe Uchebe.

Shishi Baby amethibitisha kuwa ni Mjamzito na anatarajia mtoto karibuni.Amesema hayo kwenye usiku wa Kijacho Anaoga ya Aunty Ezekiel ambapo alikutana na Wakina mama wengine wajawazito.


Hadi sasa haijulikana Muhusika wa ujauzito huo ni nani, na je ni mjamzito kweli? Au ndo anaendana na upepo wa tukio lenyewe la Kijacho anaoga.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger