10/23/2020

Simba kama Arsenal, mpira mwingi lakini hamna kitu – Shabiki wa Yanga”Simba ni kama Arsenal tu, wanacheza saana lakini hamna kitu. Wanajisifu mpira lakini hamna kitu si umeona sasa hivi pointi zao ngapi ?”- Kauli ya Shabiki wa Yanga baada ya hapo jana kupata ushindi wa goli 1 – 0 dhidi ya Polisi Tanzania

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger