10/26/2020

Simba Yachezea Kichapo TenaMabingwa watetezi Simba wanapoteza mchezo wa pili mfululizo katika dimba la uhuru jijini Dar es Salaam kwa kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Ruvu Shooting.


Goli la Ruvu Shooting lilifungwa na Fully Zullu Maganga dakika ya 36.


FT: Simba 0-1 Ruvu Shooting. 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger