10/01/2020

Sirro Aagiza Lissu Aripoti PolisiMKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amemtaka mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu kuripoti kituo cha Polisi Moshi Kilimanjaro, kutokana na kitendo anachodaiwa kufanya cha kukaripia, kuwagombeza na kugombana na viongozi wa polisi.

“Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari wangu, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Freeman Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.

“Lissu hayupo juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na jeshi la polisi,” amesema Sirro.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

3 comments:

 1. Kilaza huyu, Si Kibaraka tuu...!!!

  Anaelewa kuwa mara baada ya Kubwabwaja anahitajika Kisutu
  na anayo mipango ya kuondolewa kinyemela kwa njia za panya kurudi kwao. Tuwe makini.

  Na Jamuhuri ikituwakilisha sisi wananchi, muanze kukusanya
  matamko na uthibitisho kwa wote wanao tumia Lugha za Udhalilishaji kwa maOfisa wetu wa serikali OCD/ACP wakurugenzi anao tumia Lugha za Kuudhi juu yao.

  kumbuka wahenga walinena. ASIYEFUNZWA NA WAZAZI.....!!!
  sasa umemuharibu hata Salumu Mwalimu lugha.

  Afande uko vizuri kumwita huyu Mkosefu wa Adabu.
  Inaelekea, Medula blongata yake, Dozi zimemzidi nguvu na mwili unashindwa kuhimili.

  Uzuri ni kwamba, MIREMBE IKO KARIBU. TAFADHALINI MSAIDIENI.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau, Nia lengo lake ni Uovu.

   Usani wao tumesha wastukia.

   Arudishe watoto wake kwanza toka kwa hao wanao wafadhili. Ughaibuni na Sina uhakika kama chanzo cha kipato chake kilihakikiwa.?? Au ndio Mashostiii.!!

   Delete
 2. Jamani huyu Dogo, Tundu si aliwahi kuwa na Shangazi alie
  Futwa hivi karibuni. sasa huu ndio Ustaarabu..??

  Kibaraka huyu, Si anapelekeshwa tu! Hajitambui wala kutambua

  Anaelewa kuwa mara baada ya Kubwabwaja anahitajika Kisutu
  na anayo mipango ya kuondolewa kinyemela kwa njia za panya kurudi kwao. Tuwe makini.

  Na Jamuhuri ikituwakilisha sisi wananchi, muanze kukusanya
  matamko na uthibitisho kwa wote wanao tumia Lugha za Udhalilishaji kwa maOfisa wetu wa serikali OCD/ACP wakurugenzi anao tumia Lugha za Kuudhi juu yao.

  kumbuka wahenga walinena. ASIYEFUNZWA NA WAZAZI.....!!!
  sasa umemuharibu hata Salumu Mwalimu lugha.

  Afande uko vizuri kumwita huyu Mkosefu wa Adabu.
  Inaelekea, Medula blongata yake, Dozi zimemzidi nguvu na mwili unashindwa kuhimili.

  Uzuri ni kwamba, MIREMBE IKO KARIBU. TAFADHALINI MSAIDIENI.

  ReplyDelete

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger