Tamko la BASATA Kuhusu Kufungiwa Wimbo wa Jide

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




BARAZA la Sanaa Tanzania (BASATA) limekanusha taarifa zilizotolewa na Meneja wa mwanamuziki Lady Jaydee (Jide) kwamba limeufungia wimbo wake wa  ‘ONE TIME’.

Taarifa iliyotolewa na baraza hilo imesema habari hizo si za kweli na kwamba baraza hilo lilimuita msanii huyo na kufanya naye kikao na kumpa maelekezo ya kufanya maboresho ya wimbo husika na kuuwasilisha ili uweze kupelekwa kwa walaji.



 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad