AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Timu ya Ihefu SC, imeachana na kocha wake Maka Mwalwisi na nafasi yake kwa sasa itashikwa na kocha msaidizi James Wanyato.
Meneja wa timu hiyo Zagalo Chalamila amethibitisha jambo hilo huku mwenendo usioridhisha wa timu akitaja kuwa sababu kuu.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK