Uwanja wa Mkapa Wafungwa
BODI  ya Ligi kuu Tanzania (TBLP) imetoa taarifa kuwa mechi zote za Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21 zilizopangwa kufanyika kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, sasa zitachezwa kwenye Uwanja wa Uhuru hadi uwanja huo utakapofunguliwa.


 


Aidha mechi zote za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza zilizokuwa zichezwe kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, zitachezwa Uwanja wa Samora Iringa  (Ligi Kuu) na Jamhuri Morogoro kwa Ligi Daraja la Kwanza, hadi hapo uwanja hivyo vitakapokuwa tayari kwa matumizi. 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE