.

10/12/2020

Vanessa Mdee Hado Hajamsahau JUX, Anatumia Nguvu Kubwa Kumtumia Mpenzi wake Mpya kwa Lengo la Kujaribu Kumpa Wivu JuxWazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya.


Na kwa kutumia instagram mbinu hii imekuwa ya kidijitali ambapo Vanessa Mdee anaweza kupost karibu picha 20 kwa siku yupo na mpenzi wake mpya.


Jux hana habari kabisa na huenda labda ashajua lengo la Mdee, hiki kitu kinamfanya Mdee azidi kuwa kichaa wa visasi maana sio kwa picha hizi.


By dudu jeupe

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger