Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Wadada Mpo....Apple Waitambulisha Iphone 12

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKAMPUNI ya Apple leo imetambulisha simu zake aina ya Iphone 12 ambazo zimezinduliwa kwa miundo minne tofauti ambazo ni iPhone 12 mini (5.4in), iPhone 12 (6.1in), iPhone 12 Pro (6.1in) na iPhone 12 Pro Max (6.7in) Apple Waitambulisha Iphone 12

Apple wamethibitisha kuzifanyia maboresho makubwa aina hizi mpya kwa kuongeza uwezo wake wa internet na pia imewakumbuka wateja wao wa picha kwani imeongezwa maradufu uwezo wa kupiga picha zenye ubora wa hali ya juu.

Moja ya mabadiliko makubwa yaliyopo ni pamoja na kuwa na uwezo wa kutumia intaneti yenye kasi zaidi kutoka 4G hadi 5

Mara baada ya utambulisho, Apple wametambulisha bei ya simu hizo ambazo zinaanzia Dola za Marekani 669 ambazo ni sawa na Mil.1.2 za Tanzania mpaka 3  kwa Iphone Pro Max.

Post a Comment

0 Comments