10/08/2020

Wakili Gwajima amtumia ujumbe Rais Mstaafu KikweteAliye kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la kawe kura za maoni Chama Cha Mapinduzi   CCM ,ADVOCATE Methusela Gwajima   ,Katika ukurasa wake wa Twitter ameandika akimtakia heri ya   siku ya kuzaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Gwajima ni kada wa CCM pia ni wakili wa kujitegemea.

"Rafiki yangu! Wewe umekuwa mtu mwema sana ktk maisha yangu  ! Umekuwa rafiki wa kweli, mkarimu,  mnyenyekevu na mwepesi wa kufika hata nyumbani kwangu pindi ninapopata matatizo  ! Hivi kweli mtu wa namna hii, kwa nini mimi ADVOCATE GWAJIMA , nisikutakie Happy birthday" ameandika Gwajima

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger