10/07/2020

Wanaume Tutafute Hela...Mrembo Nai Amwacha MoniCentro Aachwa Kwenye Mataa na Mrembo Nai....Aenda Kwa Mwenye MkwanjaKwenye moja ya interview Msanii Moni amekiri kuwa amaeachana na mpenzi wake wa muda mrefu Nai, Aidha Moni amesema mpenzi wake huyo kwasasa anatoka na mfanya biashara maarufu Fred Vunja Bei, Pia ameweka wazi sababu ya kuvunjika kwa penzi hilo ni pesa nasio kitu kingine.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger