Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Wanawake Muwe na Huruma Ndugu zanguni..Tunateseka Wenzenu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREWanaume wakiwa kazini kubomoa nyumba hii yenye ghorofa kwa kutumia nyundo. Ni kazi ngumu na ya hatari kwa kutumia vifaa vya karne ya 10 kama sikosei.

La kusikitisha kuna huyu baba na kaka hapa akitoka jioni anaenda kukaa Bar au Kilabuni anatumia na akina Mwantumu, Siwatu, Zuena, Chausiku na Jackline.

Hawa wadada watataka simu mpya, wigi na maelfu ya shilingi za kulipia saluni. Pasipo kujali mateso anayopata huyu mwanaume hapa.

Na bado haitoshi atamwita mwanaume huyu buzi na kumnyanyasa sometime. Akina baba na akina kaka pesa mnazopata pelekeni kwa wake na watoto wenu.

Chonde chonde dada zanguni. Nawasihi msitufanyie hivyo wenzenu. Pesa tunapata kwa shida na kuhatarisha maisha yetu. Muwe na ubinadamu.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments