Ticker

6/recent/ticker-posts
.

"Watu wa Instagram ni Stress tu" - Gigy Money

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMsanii Gigy Money amefunguka kuwa kuna watu wa aina tatu watu wanaotumia mtandao wa Instagram na wote wanaotumia mtandao huo ni stress tu.Gigy Money amendika kuwa sifa ya kwanza ya watu wanaotumia Instagram ni wale watakao like picha au video yako kwa 'account zao' ila comments zao zitakufanya u-log out, kisha anakulia marage na ubwabwa na anasema akimaliza hapa anaenda kwenye page ya Gigy namchefua.


Kwenye sifa ya pili Gigy Money ameeleza kuwa "Kuna wale 'too class' ushuzi wanajifanya hawataki watu waone like zao kama ni chakula au likes zao zitaongeza 'filter' kwa hiyo wana kurasa feki 'fake page' zao wanajifanya za biashara"


Aidha akimalizia sifa ya tatu ameandika kuwa "Halafu kuna hawa ambao kama hawapo wao nikutumiana 'DM'  naku-save matukio, sasa huko DM mnatunyambua kama nyinyi mnaweza kuvumilia, pia hawa wakutumiana DM ni wambea sana" 


Baada ya kutaja sifa hizo za aina ya watu wa Instagram Gigy Money akamaliza kusema watu wa Instagram ni 'stress' tu

Post a Comment

0 Comments