10/08/2020

Magufuli "Waziri huyu Mkandarasi aanze kukatwa pesa za kuchelewa kukabidhi mradi"

 


 “Haiwezekani Watu wasingizie visingizio vya corona, kesho mtasingizia mvua, keshokutwa jua, Waziri huyu Mkandarasi aanze kukatwa pesa za kuchelewa kukabidhi mradi (Stand Mbezi Luis), nimeumbwa kusema ukweli na nazungumza mbele ya Askofu Mstaafu Chakwera”-JPM

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger