10/15/2020

Waziri Kabudi Aruhusiwa Kutoka HospitaliWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali jana, Oktoba 14, 2020.

Ajali hiyo ilitokea eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro katika barabara kuu ya Dodoma-Morogoro, chanzo  kikidaiwa kuwa ni dereva wa Bajaj kuchomekea mbele ya gari la waziri huyo ghafla.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a comment

Loading...

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger