10/09/2020

Wema Sepetu amechaguliwa kuwania Tuzo za HAPAWARDS za nchini Marekani

 Mwigizaji Wema Sepetu amechaguliwa kuwania Tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS) za nchini Marekani. Wema anawania tuzo ya 'Mwigizaji bora wa kike anayeongoza katika Tamthilia zinzoonekana kwenye Tv za Kiafrika'

Tuzo hizo ambazo zinafanyika kwa msimu wa nne sasa huwa zinaangazia watu waliofanya vizuri kwenye muziki, filamu, biashara, teknolojia na sekta zingine ambapo mwaka huu kilele chake kitakuwa, Oktoba 18.


Mbali na Wema Sepetu kuwania Tuzo hizo, Mwanamama  Zari The Boss Lady, anatarajiwa kunogesha usiku huo. #Zari atakuwa mshereheshaji mdogo (Co host) wa tuzo hizo ambazo zitaonekana mubashara (live) kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger