Yaliyojiri kwenye Kwenye Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan wa Wilaya ya Nkasi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kutoka Rukwa. Yaliyojiri kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera za CCM, Kunadi Ilani na Kuomba Kura kwa Wananchi Kwenye Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan wa Wilaya ya Nkasi Kaskazini Mkoani Rukwa. Mama anaendelea Kuchanja Mbuga kuongea na Watanzania na Kumuombea Kura Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.


#KuraKwaMagufuli2020

#T2020JPM







-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad