Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Yanga na Simba sio Oktoba 18 tena, kupigwa tarehe hii

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeifanyia mabadiliko katika mchezo  namba 61 wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania msimu wa 2020/2021 kati ya Young Africans SC na Simba SC uliokuwa uchezwe Oktoba 18, 2020. Sasa utachezwa Novemba 7, 2020 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments