Ticker

6/recent/ticker-posts
.

ACT-Wazalendo yatoa msimamo kwa wabunge wao

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema, wananchi wasitegemee kuwaona wabunge wa chama hicho bungeni na chama hicho kwa sasa hakiwazi suala la ruzuku au wabunge wa viti maalum.


Zitto amesema hayo leo Novemba 8, 2020  wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho, Magomeni jijini Dar es Salaam, ambapo amesema zaidi ya wanachama 169 nchi nzima wamekamatwa katika siku ambazo zimepita na bado wanaendelea kukamatwa.


“Kwetu sisi hapakuwa na uchaguzi na kuna taratibu zinaendelea kufanywa ndani ya chama kwa wale waliotangazwa kushinda, lakini msitegemee kuona wabunge  waliotokana na ACT-Wazalendo bungeni”, amesema Zitto.


“Hakuna jambo ambalo ni muhimu zaidi ya uhai wa watu, kiongozi mwenzangu (Mazrui) sijui anaendeleaje, sasa hivi siwazi ruzuku, viti maalum wala chochote, nachowaza ni damu ya wanachama wangu na uhai wa viongozi wangu”, ameongeza Zitto.


Katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, kati ya majimbo 264, ACT-Wazalendo ilijipatia majimbo manne ya Pemba-Zanzibar.

Post a Comment

3 Comments

 1. Dogo..!!! Ulikuwa mbunge wa taasisi hii
  peke yako, Au kumbukumbu inakupotea?

  Huu utumbo unaozungumza mbona hauelewe

  Je unatambua kama Vilipukizi vimekamatwa visiwani..? Je unahusika.?

  Tunaendelea kuliangalia hili kwa kina
  huku tukilifanyia kazi mwengine atoroka na mwengine anatafuta hifadhi
  na wewe nae hatua inayofata ni new flashi ya GB64 , Amasivyo..??

  Dogo.!! mkopo Tanzania uliupata.

  Hivyo ulisafiri mkiambatana na Nani.?
  mpaka kwa mbutaNanga?

  Ughaibuni kuzuli , umesha tengeneza mazingira.?  ReplyDelete
  Replies
  1. Mdau, Hii yote tamaa ya RUZUKU.
   Ruzuku mchezo? mtu yuko Radhi alale mlangoni usiku kucha kuingojea ruzuku. muulize mwenzako.!! kumchuzi na ugali.

   Delete
 2. Uta mtapelije Membe, tena bila haya.!!


  Dogo..!!! Ulikuwa mbunge wa taasisi hii
  peke yako, Au kumbukumbu inakupotea?

  Huu utumbo unaozungumza mbona hauelewe

  Je unatambua kama Vilipukizi vimekamatwa visiwani..? Je unahusika.?

  Tunaendelea kuliangalia hili kwa kina
  huku tukilifanyia kazi mwengine atoroka na mwengine anatafuta hifadhi
  na wewe nae hatua inayofata ni new flashi ya GB64 , Amasivyo..??

  Dogo.!! mkopo Tanzania uliupata.

  Hivyo ulisafiri mkiambatana na Nani.?
  mpaka kwa mbutaNanga?

  Ughaibuni kuzuli , umesha tengeneza mazingira.?  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)