11/17/2020

Album Mpya ya Davido Moto wa Kuotea Mbali...Imefikisha Wasikilizaji Milioni 100 Ndani ya Siku Tatu

 


Album mpya ya @davido ‘A Better Time’ imefikisha wasikilizaji milion 100 kupitia mitandao ya kusikilizia muziki na youtube ndani ya siku tatu tuu


kupitia account yake davido ametoa taarifa hiyo kua kupitia aple music, spotfy, audiomack, boomplay na youtube album yake imefikisha jumla ya wasikilizaji milion 100 na kuwashukuru mashabiki zake huku akiahidi kuendelea kutoa mrejesho wa maendeleo ya album hiyo.


A Better Time ni album aliyoiachia ijumaa ya wiki iliyopita(novemba 13) na ina jumla ya ngoma 17 huku ikiwa imebeba kolabo nyingi za kimataifa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger